LG Garnet Star WAJA NA KUBWA KULIKO MSIMU HUU WA NANE NANE

 MENEJA wa Bidhaa wa LG Afrika Mashariki Eden Seo (kushoto), akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa LG Afrika Mashariki, Sa Nyoung Kim na Mkurugenzi Mkuu wa Opalnet Rakesh Singh, wakati wa uzinduzi wa friji mpya za LG zenye punguzo la asilimia 33 katika kipindi cha mwezi mzima wa kusherekea sikukuu ya Nane Nane jana jijini Dar